Saturday, 22 December 2007

Kwa Wakenya Wenzangu...


Wakenya nawaomba tia maanani ujumbe wa amani
Epukana na siasa za peni mbili, wacha wizi…. wacha vita
Tunapoilaki mwaka mpya, tujipe moyo kwa yaliyopangiwa siku zijazo
Nawatakia sikukuu njema yaliyojazwa na fanaka na baraka chungu nzima…
No comments: