Nilipokutazama ukitabasamu niliduwaa
Mapenzi tele rohoni
Ah! Lo kipigo moyoni
yanitoa jasho konde mie
yupi huyu aliyeniduwaa??
Usiku kucha si lali
Sili wala siwezi
Kukana jinsi
ninavyo hisi
Na tamani kukupapasa
Labda pia kukubusu
Ah! Lo kipigo moyoni
yanitoa jasho konde mie
yupi huyu aliyeniduwaa?
Comments