Friday, 26 October 2007

Kwa Marafiki Wangu


Kwa Marafiki Wangu...

Asante kwa kuvumilia mambo yangu...asante kwa kunipa moyo nikijazwa namawazo chungu nzima. Wajua jinsi ya kunituliza,kunipenda na kunipa uhuru ya kukuelezea yaliomo moyoni...hata kama siyo mambo ya maana.....

Shukran kwa utulivu ambaye unaye wakati kila kitu insambaratikia...na hiyo ujasiri yako wakati giza imenizingiria na ni mejazwa na uwoga...

Asante kwa kunishika na kunibusu..kunipa nafasi ya kutulia wakati shida na machozi yamenijaa

Mola awe nawe...akupe amani na baraka chungu nzima...

~Siki~

No comments: